Mkurugenzi mpya wa michezo wa Arsenal, Andrea Berta, amekutana na wakala wa winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams, katika siku za hivi karibuni kujadili uhamisho wa kiangazi kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania mwenye umri wa miaka 22. (Guardian)
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, na aliyekuwa kocha wa Brighton, Roberto de Zerbi, ambaye kwa sasa yuko Marseille,..... download Xtra 90 App



