Coastal Union leo itakuwa na kazi ya kufanya mbele ya Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa uwanja wa KMC Complex
Kikosi cha Coastal Union leo hakitaongozwa na kocha mkuu, Juma Mwambusi ambaye inaelezwa amefutwa kazi baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar wakifungwa mabao 2-1
Taarifa za ndani kutoka Coastal Union zimethibitisha wamemalizana na Mwambusi..... download Xtra 90 App



