Local,Normal News,Yanga, Coastal

Coastal Union kuikabili Yanga bila Mwambusi leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Apr 2025
Coastal Union kuikabili Yanga bila Mwambusi leo

Coastal Union leo itakuwa na kazi ya kufanya mbele ya Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa uwanja wa KMC Complex

Kikosi cha Coastal Union leo hakitaongozwa na kocha mkuu, Juma Mwambusi ambaye inaelezwa amefutwa kazi baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar wakifungwa mabao 2-1

Taarifa za ndani kutoka Coastal Union zimethibitisha wamemalizana na Mwambusi baada ya mfululizo wa matokeo mabaya

Mwambusi amedumu na Coastal Union kwa takribani miezi mitano tu akijiunga na timu hiyo mwishoni mwa mwaka 2024

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’