Mabosi Simba waongoza hamasa kuizima Al Masry

Joel JJ By Joel JJ β€’ 8th April 2025

Mabosi Simba waongoza hamasa kuizima Al Masry

Inaelezwa uongozi wa Simba umetenga Tsh Milioni 500 za bonasi ya wachezaji iwapo watashinda dhidi ya Al Masry na kufuzu nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC)

Mabosi wa Simba wanaongoza hamasa kuelekea mchezo huo utakaopigwa kesho Jumatano, April 09 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Jana mabosi wa Simba walishuhudia mazoezi yaliyofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa,..... download Xtra 90 App

More Stories

Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Today, READ MORE β†’
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Today, READ MORE β†’
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’