Local,Normal News,Simba, Masry

Mabosi Simba waongoza hamasa kuizima Al Masry

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Apr 2025
Mabosi Simba waongoza hamasa kuizima Al Masry

Inaelezwa uongozi wa Simba umetenga Tsh Milioni 500 za bonasi ya wachezaji iwapo watashinda dhidi ya Al Masry na kufuzu nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC)

Mabosi wa Simba wanaongoza hamasa kuelekea mchezo huo utakaopigwa kesho Jumatano, April 09 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Jana mabosi wa Simba walishuhudia mazoezi yaliyofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa, yakiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo huo

Mtendaji Mkuu Zubeda Sakuru, Mwenyekiti Murtaza Mangungu na Mjumbe wa Bodi wa Wakurugenzi Salim Abdallah 'Try Again' waliongoza msafara wa vigogo hao wa Simba ambao pamoja na mambo mengine wlipata nafasi ya kuzungumza na wachezaji

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’