Kakolanya asimamishwa Namungo Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
10 Apr 2025
Kakolanya asimamishwa Namungo Fc

Namungo imethibitisha kumsimamisha kipa wao, Beno Kakolanya kwa kile kinachodaiwa ni utovu wa nidhamu huku mchezaji huyo akisubiri hatma yake baada ya suala lake kupelekwa kamati ya maadili

Kakolanya anaitumikia Namungo kwa mkopo msimu mmoja akitokea Singida Black Stars ambapo mkataba wake na Singida Black Stars unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu

Mratibu wa Namungo, Ally Suleiman, amethibitisha taarifa ya nyota huyo kusimamishwa

"Tumempeleka kamati ya maadili ambayo itakaa na mchezaji kwa ajili ya mazungumzo kabla ya kutoa hukumu, lakini hadi hivi sasa hayupo pamoja na timu, ameondolewa hadi atakapoitwa na kamati"

"Shida kubwa iliyotufanya tumuondoe kikosini ni suala la utovu wa nidhamu. Kwa sasa ifahamike kuwa Kakolanya hayupo pamoja na timu," alisemaΒ 

ADVERTISE HERE

More Stories

Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
10m ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
55m ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
1h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
2h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
5h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
7h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
8h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
8h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
10h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
10h ago
READ MORE β†’