Local,Normal News,Yanga, Simba

Uwanja wa Mkapa wafungwa tena kwa muda

Joel JJ By Joel JJ
β€’
10 Apr 2025
Uwanja wa Mkapa wafungwa tena kwa muda

Serikali imetangaza kufunga kwa muda uwanja wa Benjamin Mkapa ili kupisha marekebisho katika eneo la kuchezea 'pitch'

Uwanja huo awali ulifungwa kwa ajili ya ukarabati wa eneo hilo na kufunguliwa baada ya CAF kujiridhisha na marekebisho yaliyofanyika, Simba ikiruhusiwa kutumia katika mchezo dhidi ya Al Masry

Hata hivyo mvua iliyonyesha ni kama ilichangia hali ya uwanja huo kuwa mbaya ingawa pia kulionekana mangungufu ya maji kukaa katika eneo la kuchezea

Jitihada za kuondoa maji zilifanyika kabla ya mchezo kuanza hata hivyo kuendelea kwa mvua wakati mchezo ukiendelea kulichangia eneo la kuchezea kuharibika zaidi

Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema uwanja huo umefungwa kwa muda mfupi na utafunguliwa tena baada ya maboresho kukamilika

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’