Yanga imeendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuichapa Azam Fc mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex
Yanga iliuanza mchezo huo kwa kasi ikionyesha dhamira ya kusaka ushindi mapema na alikuwa Pacome Zouzoua aliyefunga bao la kwanza dakika ya 11 akimalizia kazi ya Prince Dube
Mabingwa hao watetezi waliendelea kutawala mchezo katika kipindi cha..... download Xtra 90 App



