JKT Tanzania, wapo katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara wakikusanya pointi 32 kupitia mechi 25, huku kocha wa timu hiyo, Ahmad Ally akipiga hesabu kali kwa mechi za tano zilizosalia ili kuhakikisha wanavuna pointi za kutosha zitakazowaacha salama
Kocha Ally alisema pointi walizonazo kwa sasa bado haziwapi dhamana ya kuendelea kusalia katika Ligi Kuu, hivyo anajipanga na..... download Xtra 90 App



