Klabu ya Azam FC, inayojulikana kama matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, imekuwa na msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara wa 2024/25 uliojaa mchanganyiko wa mafanikio na changamoto
Hata hivyo, licha ya juhudi zao na ubora wa kikosi, timu hiyo haitafanikiwa kufikia kiwango cha pointi ilichokifikia msimu uliopita.



