Ratiba nusu fainali kombe la CRDB hadharani

Joel JJ By Joel JJ β€’ 16th April 2025


Ratiba nusu fainali kombe la CRDB hadharani

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya mechi za nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB

Mabingwa watetezi Yanga watachuana na JKT Tanzania mchezo utakaopigwa uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga huku Simba ikichuana na Singida Black Stars mchezo uliopangwa kupigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara

Mechi hizo zitapigwa kati ya May 16-18 2025


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.