Klabu ya Ligi kuu ya Pro ya Saudi, Al-Nassr, inamtaka kiungo wa Chelsea na timu ya taifa ya Ecuador, Moises Caicedo, 23, ambaye anatarajiwa kugharimu zaidi ya Β£100m. (Telegraph)
Juventus imemfanya kiungo wa Italia mwenye umri wa miaka 24 anayechezea Newcastle, Sandro Tonali, kuwa miongoni mwa wachezaji inayowataka katika uhamisho wa majira ya joto. (Gazzetta dello Sport - kwa..... download Xtra 90 App



