Baada ya usiku wa kukumbukwa zaidi katika historia ya Arsenal barani Ulaya, Mikel Arteta alikuwa na zaidi ya wachezaji na mashabiki wake wa kushukuru. Mara tu filimbi ya mwisho ilipopigwa katika Uwanja wa Bernebeu, ikithibitisha kutinga kwa Arsenal katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA kwa kuwatoa Real Madrid, kocha huyo wa The Gunners alitoa ishara tulivu lakini ya kugusa..... download Xtra 90 App



