Tanzania Prisons ililazimika kutokea nyuma kwa tofauti ya mabao mawili na kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Sokoine
Hadi mapumziko Prisons walikuwa nyuma kwa mabao mawili lakini maafande hao wa Jeshi la Magereza wakatumia dakika 45 za kipindi cha pili kujihakikishia ushindi muhimu ambao unawaweka katika nafasi nzuri ya..... download Xtra 90 App



