Prisons yapindua meza dhidi ya JKT Tanzania dimba la Sokoine

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Apr 2025
Prisons yapindua meza dhidi ya JKT Tanzania dimba la Sokoine

Tanzania Prisons ililazimika kutokea nyuma kwa tofauti ya mabao mawili na kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Sokoine

Hadi mapumziko Prisons walikuwa nyuma kwa mabao mawili lakini maafande hao wa Jeshi la Magereza wakatumia dakika 45 za kipindi cha pili kujihakikishia ushindi muhimu ambao unawaweka katika nafasi nzuri ya kujitetea kutoshuka daraja

Nayo KMC ikatumia vyema uwanja wa nyumbani ikiibamiza Dodoma Jiji mabao 2-1 katika mtanange uliopigwa dimba la KMC Complex

ADVERTISE HERE

More Stories

Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027

2h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto

4h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

5h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga

Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka

7h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars

CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo

Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or

20h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo

1d ago
READ MORE β†’
Chelsea na Manchester united katika vita ya alama tatu kesho Stamford Bridge