Jumapili hii, tarehe 20 Aprili 2025, mashabiki wa soka barani Afrika watashuhudia mechi mbili za nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF. Timu nne kutoka kanda tofauti za Afrika zitachuana kuwania nafasi ya kucheza fainali ya michuano hii ya pili kwa ukubwa barani
Simba SC ya Tanzania itakuwa mwenyeji wa Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika uwanja wa New Amaan Complex,..... download Xtra 90 App



