Manchester City wanaongoza mbio za kumsajili kiungo mshambuliaji wa England na Nottingham Forest mwenye umri wa miaka 25, Morgan Gibbs-White. (Times)
Manchester United kwa sasa wanaongoza katika mbio zingine za kumsajili mshambuliaji wa Ghana na Bournemouth mwenye umri wa miaka 25, Antoine Semenyo, lakini wanakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa vilabu kadhaa vya Ligi Kuu ikiwa ni..... download Xtra 90 App



