Manchester United wanafikiria kuwa na mpango wa kubadilishana wachezaji ambao utamhusisha mshambuliaji Marcus Rashford, 27, wa kubadilisha uhamisho wa mkopo wa Aston Villa kuwa wa kudumu huku mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Uingereza Ollie Watkins, 29, akijiunga na Man Utd wakati wa dirisha la uhamishaji wa majira ya joto. (Star)
Kipa wa Cameroon Andre Onana, 29, ataruhusiwa tu kuondoka..... download Xtra 90 App



