Bao la dakika ya 45 kipindi cha kwanza kupitia mpira wa adhabu kutoka kwa Jean Charles Houa limetosha kuipa Simba ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch katika mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la Shirikisho (CAC CC)
Ulikuwa mchezo wa vipindi viwili, Simba ilitawala na kutengeneza nafasi nyingi katika kipindi cha kwanza huku Stellenbosch wakicheza kwa kujihami..... download Xtra 90 App



