Manchester United imetuma wapelelezi kumtazama mlinda lango wa Porto na Ureno, Diogo Costa, mwenye umri wa miaka 25, kama sehemu ya juhudi za kutafuta mbadala wa Andre Onana. Manchester City pia inavutiwa na Costa, ambaye ana kipengele cha kutolewa cha Β£64.3 milioni.(Correio da Manha - in Portuguese)
Arsenal imeanzisha mazungumzo ya kumtaka mshambuliaji wa Sporting CP na timu ya taifa ya..... download Xtra 90 App



