Arsenal imepiga hatua katika mazungumzo ya kumsajili kiungo wa kati wa Real Sociedad na Uhispania Martin Zubimendi, 26, ambaye ana kipengele cha kutolewa cha euro milioni 60 sawa na (pauni milioni 51.2)
katika kandarasi yake. (ESPN) Manchester United inaweza kumtoa mshambuliaji wa Denmark Rasmus Hojlund, 22, kwa Atalanta badala ya mshambuliaji wa Nigeria Ademola Lookman,..... download Xtra 90 App



