Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya refa wa mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Stellenbosch na Simba itakayochezwa Jumapili, Aprili 27, 2025.
Awali refa aliyepangwa kuchezesha mechi hiyo alikuwa ni Amin Omar kutoka Misri na sasa timu hizo zitachezeshwa na Mohamed Maarouf Eid Mansour ambaye naye anatoka..... download Xtra 90 App



