Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya ushiriki wa michuano ya Kombe la Muungano 2025 iliyoanza jana
Yanga imepangwa kuvaana na KVZย kesho Jumamosi katika mchezo wa robo fainali ya michuano hiyo iliyorejeshwa msimu uliopitaย
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa hawaendi kushiriki tu michuano..... download Xtra 90 App



