Local,Normal News,Simba

Simba yatinga fainali kombe la Shirikisho (CAF CC)

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Apr 2025
Simba yatinga fainali kombe la Shirikisho (CAF CC)

Ndio! kazi imemalizika dimba la Moses Mabhida Simba ikirejea kile ilichofanya mwaka 1993 ikitinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch

Ulikuwa mchezo ambao Simba iliingia kimkakat zaidi ikihitaji ushindi au matokeo ya sare kufuatia ushindi wa ao 1-0 ambao waliupata katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa visiwani Zanzibar

Haikuwa kazi rahisi lakini kocha Fadlu Davids aliandaa mpango mkakati na wachezaji wakaweka nguvu zao zote na nidhamu ya hali ya juu kuhakikisha lengo la kutinga fainali linafanikiwa

Ama kwa hakika msimu huu ni wa kipekee kwa Simba, uwekezaji wa Bilionea Mohammed Dewji na kile alichokuwa akitamani kuleta taji la CAF Tanzania kinaonekana

Sasa Simba imebakisha dakika 180 tu kulileta kombe la Shiririkisho Tanzania

Mnyama anamsubiri mshindi wa mchezo kati ya CS Constantine dhidi ya RS Berkane na habari njema ni kuwa kwenye fainali Simba itaanzia ugenini na kumalizia nyumbani

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’