Ndio! kazi imemalizika dimba la Moses Mabhida Simba ikirejea kile ilichofanya mwaka 1993 ikitinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch
Ulikuwa mchezo ambao Simba iliingia kimkakat zaidi ikihitaji ushindi au matokeo ya sare kufuatia ushindi wa ao 1-0 ambao waliupata katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa visiwani..... download Xtra 90 App



