Jana Liverpool ilijihakikishia ubingwa wa ligi kuu ya Premia mapema baada yha kuibamiza Totenham Hotspur kwa mabao 5-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Anfield.
Liverpool sasa wanakuwa mabingwa wa ligi ya juu England wakifikisha makombe 20 sawa na Manchester United.
Totenham ilianza kutangulia kupitia bao la kona lililofungwa na Dominic Solanke dakika ya 12, kisha Luiz Diaz..... download Xtra 90 App



