International,Normal News,Barcelona, Inter

Barcelona kuikabili Inter Milan nusu fainali UEFA CL leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Apr 2025
Barcelona kuikabili Inter Milan nusu fainali UEFA CL leo

Nyasi za uwanja wa Olimpico Lluis Companys jijini Barcelona, Hispania leo zitawaka moto wakati wenyeji klabu ya Barcelona itakapoikaribisha Inter Milan ya Italia katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya(UCL).

Kutinga hatua hiyo, Barcelona imeitoa Borussia Dortmund kwa jumla ya mabao 5-3 wakati Inter imeiondosha Bayern Munich kwa jumla ya mabao 4-3.

Kwa mara ya mwisho Barcelona na Inter zilikutana katika michuano hiyo msimu wa 2022/2023.

Katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali iliyopigwa Aprili 29 kwenye uwanja wa Emirates jijini London, England wenyeji Arsenal imeshindwa kutamba mbele ya mashabiki wake baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Paris Saint-Germain

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’