Nyasi za uwanja wa Olimpico Lluis Companys jijini Barcelona, Hispania leo zitawaka moto wakati wenyeji klabu ya Barcelona itakapoikaribisha Inter Milan ya Italia katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya(UCL).
Kutinga hatua hiyo, Barcelona imeitoa Borussia Dortmund kwa jumla ya mabao 5-3 wakati Inter imeiondosha Bayern Munich kwa jumla ya mabao..... download Xtra 90 App



