Kikosi cha Yanga usiku wa leo Alhamisi kitakuwa uwanjani kuwakabili JKU ya Zanzibar katika fainali ya Kombe la Muungano
Yanga iliponea chupuchupu katika hatua ya nusu fainali ambapo ililazimika kusubiri hadi hatua ya penalti baada ya dakika 90 za pambano hilo kuisha kwa sare ya 1-1, leo inavaana na JKU ambao ni watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar
Yanga, wanaoshikilia ubingwa wa Ligi Kuu..... download Xtra 90 App



