Mshambuliaji wa Ufaransa Christopher Nkunku, 27, ameamua kuondoka Chelsea msimu huu wa joto. (Sky Sports Ujerumani)
Beki wa Kiukreni Oleksandr Zinchenko, 28, huenda akaondoka Arsenal msimu huu wakati Borussia Dortmund ikionesha nia ya kumnyakua. (Football Insider)
Kiungo wa kati wa Marekani Weston McKennie, 26, amefikia makubaliano ya mdomo na Juventus kusalia katika klabu hiyo hadi..... download Xtra 90 App



