Manchester United yajiunga na kinyang'anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Cameroon ambaye thamani yake inakadiriwa kuwa pauni milioni 60 Bryan Mbeumo, 25, kutoka Brentford msimu huu wa kiangazi. (Telegraph - usajili unahitajika)
Arsenal wanamfuatilia mshambuliaji wa Brazil Rodrygo anayekipiga Real Madrid, huku Manchester City pia wakimtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Relevo -..... download Xtra 90 App



