Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza msimamo kuwa hawatoshiriki mchezo namba 184 wa ligi kuu dhidi ya Simba kutokana na ukiukwaji wa kanuni uliopelekea mchezo huo kutofanyika Machi 08
Licha ya maelekezo ya Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa Michezo (CAS) kuwataka wafungue upya madai yao katika mamlaka za ndani kabla ya kuyawasilisha kwenye chombo hicho cha juu zaidi, Yanga imeeleza..... download Xtra 90 App



