Simba imeendelea 'kutafuna' viporo vyake leo ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo
Bao pekee la ushindi kwa upande wa Simba lilifungwa na Fabrice Ngoma akimalizia krosi ya Steven Mukwala katika dakika za nyongeza kipindi cha kwanza
Ilikuwa mechi nzuri yenye ushindani, Simba ikitengeneza nafasi zaidi lakini..... download Xtra 90 App



