Sio tu kutolewa kwenye mashindano ikiwa katika hatua ya makundi, Ngorongoro Heroes haijafunga bao lolote kwenye mashindano ya Afcon U20 yanayoendelea huko Misri
Ngorongoro Heroes imecheza mechi nne na kupoteza zote. Mechi zote imefungwa bao 1-0 dhidi ya Afrika Kusini, Sierra Leone, Zambia na Misri
Imemaliza kundi A ikishika mkia bila kuwa na pointi yeyote. Huku Afrika kusini..... download Xtra 90 App



