Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema wamejipanga kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa leo Jumapili katika uwanja wa KMC Complex licha ya ratiba ngumu inayowakabili
Akizungumza katika Mkutano na wanahabari jana, Matola alisema wamekosa muda wa kutosha wa maandalizi ya mechi kutokana na ratiba inayowalazimu kucheza kila baada ya siku..... download Xtra 90 App



