Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amesema malengo ya Simba ni kutwaa kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) na wanakwenda kwenye mechi mbili za fainali dhidi ya RS Berkane wakiwa na kauli mbiu ya TUNABEBA
May 17 Simba itakuwa Morocco katika fainali ya kwanza itakayopigwa uwanja wa Manispaa ya Berkane na mchezo wa marudiano utapigwa jijini Dar es salaam. May 25..... download Xtra 90 App



