Manchester City inakusudia kumsajili kiungo Mholanzi Tijjani Reijnders (26) kutoka AC Milan, ambao watamuuza kama ofa ya zaidi ya pauni milioni 57 itatolewa (Telegraph)
Uongozi wa Manchester United hauna mpango wa haraka wa kumfukuza kocha wao Ruben Amorim (Talksport)
Winga wa Colombia Luis Diaz (28) ameahidi kusalia Liverpool licha ya kuhusishwa awali na Barcelona...... download Xtra 90 App



