Gwiji wa zamani wa Yanga, Taifa Stars na mchambuzi wa soka nchini, Ally Mayay Tembele, amesema alitarajia sakata la kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo iliyopangwa kuchezwa Machi 8, 2025, lingetatuliwa mapema kutokana na majukumu ya kimataifa yanayolikabili taifa
Mayay amebainisha kuwa Tanzania ni mwenyeji wa michuano ya CHAN 2025, hivyo ni muhimu suala la dabi kumalizwa haraka ili kutoa..... download Xtra 90 App



