Timu ya Kagera Sugar ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata jana dhidi ya KenGold FC.
Kwa ushindi huo wa mabao 2-0 dhidi ya KenGold, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12 pointi 30, KMC FC nafasi ya 13 pointi 30, Fountain Gate nafasi ya 14 pointi 29 na Kagera Sugar iko nafasi ya 15 na alama..... download Xtra 90 App



