Local,Normal News,Kagera, Kengold

Kagera Sugar yaungana na KenGold Championship

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 May 2025
Kagera Sugar yaungana na KenGold Championship

Timu ya Kagera Sugar ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata jana dhidi ya KenGold FC.

Kwa ushindi huo wa mabao 2-0 dhidi ya KenGold, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12 pointi 30, KMC FC nafasi ya 13 pointi 30, Fountain Gate nafasi ya 14 pointi 29 na Kagera Sugar iko nafasi ya 15 na alama 22

Kagera Sugar imebakiza mechi mbili ambazo hata ikishinda zote, haiwezi kufikisha alama alizonazo wa juu yake ambaye ni Fountain Gate (29)

Kwahiyo, Kagera Sugar itaungana na KenGold SC kwenye NBC Championship msimu ujao 2025/26 huku Mtibwa Sugar na Mbeya City wakirejea ligi kuu na kuchukua nafasi zao

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’