Kikosi cha Simba kimewasili salama jiji la Casablanca tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC) dhidi ya RS Berkane
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, May 17 katika uwanja wa Manispaa ya Berkane, huko katika mji wa Berkane















