Arsenal wanasaka mshambuliaji na wameelekeza macho yao kwa Benjamin Sesko wa RB Leipzig na Slovenia mwenye umri wa miaka 21, au Viktor Gyokeres wa Sporting na Sweden mwenye umri wa miaka 26. (Independent)
Newcastle wanamfuatilia winga wa Borussia Dortmund mwenye umri wa miaka 20, Jamie Gittens, na pia wanaweza kumsajili kipa mwenzake wa Uswisi, Gregor Kobel mwenye umri wa miaka 27...... download Xtra 90 App



