Leo Jumapili, Mei 18, macho na masikio ya wapenda soka nchini yatakuwa mkoani Tanga kwenye Uwanja wa Mkwakwani, ambako mabingwa watetezi Yanga SC watavaana na JKT Tanzania katika nusu fainali ya kwanza ya Kombe la CRDB.
Huu utakuwa ni mchezo wa tatu kwa timu hizi kukutana msimu huu. Yanga ilishinda mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC kwa mabao 2-0..... download Xtra 90 App



