Kocha na mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba SC, Jamhuri Kihwelo maarufu kama 'Julio', ametoa maneno ya matumaini na ushauri mzito kuelekea mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, utakaopigwa Jumapili hii, Mei 25.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Morocco,..... download Xtra 90 App



