Arsenal inataka kumnunua mshambuliaji wa Brazil Rodrygo, 24, ambaye anaweza kuondoka Real Madrid msimu huu wa joto. (Sky Germany)
Kiungo mshambuliaji wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz anatarajiwa kuchagua kati ya kuhamia Bayern Munich na Liverpool ndani ya siku 10 zijazo, huku klabu zote zikiwa na hamu ya kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani, 22. (Kicker - In..... download Xtra 90 App



