Arsenal wamejiunga na Bayern Munich katika mbio za kumsajili kiungo wa Japan wa Brighton, Kaoru Mitoma mwenye umri wa miaka 28. (Sky Germany)
Mkurugenzi wa michezo wa Napoli, Giovanni Manna anatarajiwa kukutana na Manchester United kujadili uwezekano wa kumsajili winga wa Argentina mwenye umri wa miaka 20, Alejandro Garnacho, ambaye ofa yake ya pauni milioni 40 kutoka kwa mabingwa hao wa..... download Xtra 90 App



