Klabu ya Saudi Pro League, Al-Nassr, inamtaka Luis Diaz, 28, wa Liverpool, wakifuatilia hali ya mkataba wa winga huyo wa Colombia huko Anfield. (Telegraph)
Mabingwa wa Bundesliga, Bayern Munich, bado wana imani ya kumshawishi kiungo mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz, 22, kujiunga nao msimu huu wa joto, na sio Liverpool. (SZ)
Chelsea wamevutiwa na kiwango cha Jadon..... download Xtra 90 App



