Local,Normal News,Simba

Fadlu, Mukwala washinda tuzo za ligi kuu Mei 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 May 2025
Fadlu, Mukwala washinda tuzo za ligi kuu Mei 2025

Mshambuliaji wa Simba Steven Mukwala ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu kwa mwezi Mei 2025 akiwashinda Jean Charles Ahoua na Jaffar Kibaya wa Mashujaa Fc

Mukwala alicheza mechi nne katika mwezi Mei akifunga mabao matatu na kutoa pasi moja ya bao

AIdha tuzo ya kocha bora wa mwezi huo ilikwenda kwa kocha wa Simba Fadlu Davids aliyewashinda Rachid Toussi na Miloud Hamdi wa klabu za Azam Fc na Yanga

Fadlu aliiongoza Simba kushinda mechi zote tano mwezi Mei 2025

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
48m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’