Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, ameanza rasmi harakati za kuimarisha safu ya ushambuliaji kwa msimu ujao kwa kumtaja mshambuliaji hatari wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah, kama chaguo lake namba moja.
Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa tayari jina la nyota huyo limewasilishwa mezani kwa Rais wa heshima wa klabu hiyo, Bilionea Mohammed Dewji, kwa..... download Xtra 90 App



