Local,Normal News,Simba, Yanga

Simba kuanza mawindo ya Kariakoo Derby Alhamisi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Jun 2025
Simba kuanza mawindo ya Kariakoo Derby Alhamisi

Kikosi cha Simba kesho Alhamisi, Juni 05 kitaingia kambini kuanza maandalizi ya mechi tatu zilizobaki kuhitimisha msimu wa ligi kuu ya NBC 2024/25

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amesema wachezaji 9 ambao wameitwa timu za Taifa tayari wamejiunga na mataifa yao hivyo program za mazoezi zitawahusu wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za Taifa

"Kikosi kinaingia kambini kesho Alhamisi kuanza maandalizi ya mechi tatu zilizobaki kuhitimisha msimu huu"

"Wachezaji ambao wameitwa katika timu za Taifa tayari wamejiunga na Mataifa yao hivyo Kocha Fadlu Davids na benchi lake la ufundi wataanza mazoezi na wachezaji waliobaki"

"Tunafahamu mchezo unaofuata ni dhidi ya Yanga, Juni 15 bado hatujataarifiwa mchezo huo utachezwa katika uwanjani gani lakini niseme tu maandalizi ya kuelekea mchezo huo tumeyaanza mapema," alisema Ahmed

Simba imebakisha mechi tatu dhidi ya Yanga (Juni 15), Kengold (Juni 18) na Kagera Sugar (Juni 22)

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’